Hazina ya kitaifa yatoa pesa za ufadhili wa miradi ya jamii

Citizen TV Kenya
リアクション
2026年06月30日
Wizara ya hazina ya taifa kupitia mpango wa ufadhili wa miradi ya kukabili mabadiliko ya tabianchi iongozwayo na jamii, yatoa shilingi bilioni 7.1 kwa kaunti 43 kufadhili miradi ya kuimarisha ustahimilivu dhidi ya athari za mabadiliko ya